Vroman's is OPEN for in-store shopping & curbside pick-up seven days a week.

Mioyo Iliyojeruhiwa Na Mabenchi Tupu Kanisani: Mwongozo Wa Kibiblia Kushughulikia Mpasuko Kanisani (Paperback)

Mioyo Iliyojeruhiwa Na Mabenchi Tupu Kanisani: Mwongozo Wa Kibiblia Kushughulikia Mpasuko Kanisani By F. Wayne Mac Leod Cover Image
$5.99
Add to Wish List
Usually arrives at our store within 4-7 days

Description


Ni kipi husababisha watu kuyahama makanisa yao? Je, ni haki wakati wote kulihama kanisa? Je, mipasuko yote kanisani ni mibaya? Utahamaje kanisa wakati kuhama inaonekana ni kitu cha lazima? Je, utatibu namna gani kutoka mhemuko na maumivu ya kiroho ambayo kutokana na migawanyiko ya kuchukiza na isiyopendeza? Ingawa haya sio maswali rahisi kuyajibu, uhakika wa mgawanyiko na mpasuko wa Makanisa kwenye makanisa uko bayana. Majaribio ya somo hili ni kukuchunguza jambo hili kwa upole na kutoa baadhi ya Mwongozo wa Kibiblia wa kulishughulika nakupitia hili mapambano ya kawaida tunayohisi katika kanisa la siku za leo.

About the Author


F. Wayne Mac Leod alizaliwa huko Sydney Mines, Nova Scotia, Kanada na Alipata elimu yake kwenye shule ya Biblia ya Ontario, Chuo kikuu cha Waterloo na chuo cha Theolojia cha Ontorio Seminari Aliwekwa wakfu katika kanisa la Baptist Hespeler Cambridge, Ontorio mwaka 1991. Yeye na mke wake Diane wametumika Kama Wamisionari kwenye dhehebu la Africa Evangelical Fellowship kwenye visiwa vya Mouritius na Re Uniun kwenye bahari ya Hindi kutoka 1985-1993 Wakati Wayne alijihusisha na Huduma ya ukuaji wa kanisa na ufundishaji viongozi. Kwa sasa anahusika na huduma ya uandishi wa vitabu na ni mwanachama wa Action International Ministries
Product Details
ISBN: 9781725712676
ISBN-10: 1725712679
Publisher: Createspace Independent Publishing Platform
Publication Date: August 15th, 2018
Pages: 70
Language: Swahili